
Onesmas huwa anacheza piano kanisani.
Mwanamume anayeaminika kuwa Mkristo mkamilifu aliweka katika mtandao wa kijamii picha zake na mkewe wakiwa kitandani Huenda Onesmus Kinyua alijiunga na Facebook hivi majuzi baada ya mwanamume huyo kuamua kuweka picha yake na mkewe wakiwa kitandani mtandaoni.

Onesmas na mkewe kitandani.
Picha hiyo ilionekana na wafusasi wake baada ya kuiweka kwa kutumia simu.
Kwa kukagua habari ambazo hushirikisha wafuasi wake nazo Facebook, ni rahisi kusema Kinyua ni mcha Mungu.

Onesmas Kinyua
Huenda hiyo ilikuwa athari ya kutazama sana vipindi vya televisheni na hakuona ubaya kufanya hivyo. Alikosolewa sana na Wakenya na labda hatasahau tena na kuweka picha kama hizo tena.
Kwa kutoa maelezo zaidi alisema aliweka picha hiyo alipokuwa akitafuta mtoto.


ConversionConversion