Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU Asema Taarifa Hii Inayosambazwa Mitandaoni ni ya UONGO, Ipuuzwe 04:01:00 Hii Taarifa (katika picha) inasambazwa mitandaoni kwamba Imetoka IKULU. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Gerson Msigwa kasema ni ya uongo, imetengenezwa na watu wenye nia ovu hivyo ipuuzwe Related Post
ConversionConversion