Nyasi hizo bandida zimekombolewa bandarini ambapo zilikwama kwa zaidi ya mwaka na nusu.
Msemaji wa TFF, Alfred Lucas Mapunda amethibitisha hilo“Tunapenda kuwahakikishia Wanamwanza kwamba tamari tunazo nyasi bandia mkononi, hivyo sasa ni suala la hatua tu ili zianze kutumika kwenye uwanja wa Nyamgana.
“Tunasubiri mtaalamu kutoka Fifa ambaye atafanya kazi za uwekaji wa nyasi hizo,” alisema Lucas.


ConversionConversion