Shule ya Sekondari MWANZI yateketea kwa moto



Hiyo ni shule ya Sekondari MWANZI S.662 MANYONI SINGIDA .
Bweni la wasichana likiwa linawaka Moto uliosababishwa na short ya umeme usiku huu majira ya saa 20:39 pm.

Wanafunzi walikuwa darasani vipindi vya jioni na ndipo walipogundua moto unawaka ,katika kutahamaki walijaribu kuingia kuokoa vitu baadhi yao waliungua kidogo lakini wananchi walijitokeza kwa wingi lakini kuna mambo yaliyofanya zoezi la uokoaji wa Mali zao uwe mgumu 1).Uwepo wa nondo kwenye Madirisha. 2).Milango kuwa midogo na hakuna mlango wa Dharura.
3).Tatizo la Maji linalosumbua Manyoni hapa kwa sasa.
4).Vyombo vya usalama kama Police walifika eneo la Tukio Mapema lakini halikuwa na vifaa vya kutoshea .
5) Idara nyingine kama Tanesco walichukua tahadhari ya Haraka kukata umeme .

Wote ni wazima
Ujumbe kwetu site

"We can not use Physical instrument to defend Material possessions in difficult situation like natural disaster ,Life is More far than Belongings."

Andrew Kandrossy(Form 6).




Previous
Next Post »