Pambano la Manchesster derby hatimaye limewadia, leo September 10 Manchester United itakuwa mwenyeji wa majirani zao Manchester City kwenye uwanja wa Old Trafford mechi inayotajwa kuwa ni ya wachezaji wenye gharama zaidi kwenye ulimwengu wa soka.Habu tuangalie wachezaji 10 wenye historia ya kufunga magoli mengi kwenye historia ya Manchester derby.
10. Dennis Viollet (England) – Manchester United – magoli 7 mechi 15

10. Paul Scholes (England) – Manchester United – Magoli 7

9. Joe Spence (England) – Manchester United – Mechi 14, Magoli 8.

8. Brian Kidd (England) – Katika mechi zote za Manchester United na Manchester City – mechi 19, magoli 8

7. Eric Cantona (Ufaransa) – Manchester United – mechi 7, magoli 8

6. Colin Bell (England) – Manchester City – magoli 8

5. Sergio Agüero (Argentina) – Manchester City – magoli 8

4. Bobby Charlton (England) – Manchester United – magoli 9, mechi 27

3. Francis Lee (England) – Manchester City – magoli 10, mechi 19

2. Joe Hayes – Manchester City – magoli 10, mechi 17

1. Wayne Rooney (England) – Manchester United – magoli 11, mechi 24



ConversionConversion