Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya waliokufa kwenye tetemeko la ardhi mjini Bukoba.Wananchi kwa makundi wanaelekea katika uwanja wa Kaitaba ambapo
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo amesema Majaliwa ataungana na waombolezaji na kuzungumza na wananchi kuhusu tukio hilo la Jumamosi lililosababisha vifo na majeruhi.
Hadi usiku wa kuamkia leo vifo vilikuwa vimefikia 14 na majeruhi zaidi ya 200 ambao wanahudumiwa katika maeneo mbalimbali.


ConversionConversion