Huu ndio Ushauri Alioutoa Nicki Minaj kwa Wanawake wote


Nicki Minaj ameamua kuweka wazi kwamba kuwa mwanamke katika maisha haikuzuii kutokuwa na mafanikio.

Msanii wa miondoko ya HipHop, Nicki Minaj ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kwa ngoma zake na uwezo wake wa kufanya ngoma za Hiphop, amefunguka kwa kuwapa ushauri wanawake kujiamini bila ya kutegemea wanaume, kupitia interview aliyoifanya na jarida la Marie Claire Nicki Minaj amefunguka kwamba chochote ambacho kinawezekana kufanyika kwa mwanaume basi hata mwanamke naye anaweza kufanya hilo.

Katika Interview Nicki Minaj aliongeza kwamba chochote ambacho kinachofanywa na Jay Z hata yeye anauwezo wa kukifanya.

“I don’t need to read a book about [business]. I can look at someone’s career and just pinpoint the dos and the don’ts, and the one person I’ve done that with for my entire career was Jay Z He did such a great job being an authentic street guy and a businessman, and I was like, Why aren’t there women doing that, taking the success from rap and channeling it into their empire? I felt like anything he could do, I could do.” alisema Nicki Minaj

Nicki Minaj ameamua kuwapa ushauri wanawake kufikia ndoto zao katika kila mambo ambayo wanahitaji kuyafanikisha bila kuwategemea wanaume

“I want your goal in life to be to become an entrepreneur, a rich woman, a career-driven woman. You have to be able to know that you need no man on this planet at all, period, and he should feel that, because when a man feels that you need him, he acts differently” alisema Nicki Minaj
Previous
Next Post »