Jackline Wolper Kuhusu Wanaosema Ana Mimba ya Miezi Mitatu


Msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.

Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema

Hatimaye nikakavua kale kamkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakati ndo kwanza mwezi...Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’
Previous
Next Post »