Tunda Man ajitoa kwenye timu ya ubachela.Afunga ndoa rasmi


Madee (kutoka kulia), Tunda Man na mke wake (katikati’ Kassim Mganga pamoja na Dogo Janja

Mkali wa wimbo ‘Mama Kijacho’ kutoka Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah

Ndoa hiyo ambayo imefanyika Ijumaa hii huko mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Angalia picha.


Miadee akwa na shemeji yake



Tunda Man akipongezwa na mtu wake wa karibu

Previous
Next Post »